top of page
Darsa Na Mihadhara
Home
Kuhusu Sisi
Vitabu
Mwongozo wa kujiandaa na ibada ya Umrah
Aina za watu wanaokwenda kutekeleza Ibada ya Umrah
Fadhila za siku kumi za Dhul Hijjah
Itikadi Ya Maimamu Wane
Videos
Makala
Mafundisho
Aqidah
Qur'aan
Fiqh
Sira
Khutbah
Contact
About
More
Use tab to navigate through the menu items.
Log In
Darsa
na Mihadhara Online
ٱقْرَأْ بِٱسْمِ رَبِّكَ ٱلَّذِى خَلَقَ
Soma kwa ajili ya Mola wako aliyeumba
Al-Alaq 91;1
Darsa na Mihadhara
Play Video
Play Video
01:00:44
Darsa ya Riyaadhu كِتابُ الْمُقَدِّمات 🔴LIVE| (II) باب النهي عن سؤال الإمارة واختيار ترك Sh Salim
Darsa ilifanyika Jumadal Uulaa 02, 1448 H Jumanne Oktoba 13, 2026 SEHEMU YA PILI النهي عن سؤال الإمارة واختيار ترك الولايات إذا لَمْ يتعين عليه أَوْ تَدْعُ حاجة إِلَيْهِ Mlango wa Kukatazwa Kuomba Uongozi na Kuchagua :قَالَ الله تَعَالَى تِلْكَ الدَّارُ الْآخِرَةُ نَجْعَلُهَا لِلَّذِينَ لَا يُرِيدُونَ عُلُوًّا فِي الْأَرْضِ وَلَا فَسَادًا ۚ وَالْعَاقِبَةُ لِلْمُتَّقِينَ ﴿ ٨٣﴾ "Hiyo ni nyumba ya Akhera, Tunaijaalia kwa wale wasiotaka kujitukuza katika ardhi na wala ufisadi; na hatima njema ni kwa wenye taqwa." [Al-Qaswasw 28:83] SEHEMU YA KWANZA باب حث السلطان والقاضي وغيرهما من ولاة الأمور عَلَى اتخاذ وزير صالح وتحذيرهم من قرناء السوء والقبول منهم Mlango wa Kuhimizwa Viongozi, Maqdhi na Wengineo Kuchagua Washauri na Mawaziri Wazuri na Wema na Kuonywa Kuwa na Marafiki Wabaya na Kuwakubali :قَالَ الله تَعَالَى الْأَخِلَّاءُ يَوْمَئِذٍ بَعْضُهُمْ لِبَعْضٍ عَدُوٌّ إِلَّا الْمُتَّقِينَ﴿٦٧﴾ "Marafiki wapenzi Siku hiyo watakuwa maadui wao kwa wao isipokuwa wenye taqwa." [Az-Zukhruf 43:67]
Play Video
Play Video
57:43
Darsa ya Riyaadhu كِتابُ الْمُقَدِّمات 🔴 LIVE| (II) باب وجوب طاعة ولاة الأمر في غير معصية Sh Salim
Darsa ilifanyika Jumadal Uulaa 01, 1448 H Jumatatu Oktoba 12, 2026 SEHEMU YA PILI باب وجوب طاعة ولاة الأمر في غير معصية وتحريم طاعتهم في معصية Mlango wa Wajibu wa Kuwatii Viongozi katika yale yasiyokuwa ya Maasi na uharamu wa Kuwatii Katika Maasi :قَالَ الله تَعَالَى أَطِيعُوا اللَّـهَ وَأَطِيعُوا الرَّسُولَ وَأُولِي الْأَمْرِ مِنكُمْ ۖ ﴿٥٩﴾ "Mtiini Allah na mtiini Rasuli na wenye madaraka miingoni mwenu." [An-Nisaa 4:59] SEHEMU YA KWANZA النهي عن سؤال الإمارة واختيار ترك الولايات إذا لَمْ يتعين عليه أَوْ تَدْعُ حاجة إِلَيْهِ Mlango wa Kukatazwa Kuomba Uongozi na Kuchagua :قَالَ الله تَعَالَى تِلْكَ الدَّارُ الْآخِرَةُ نَجْعَلُهَا لِلَّذِينَ لَا يُرِيدُونَ عُلُوًّا فِي الْأَرْضِ وَلَا فَسَادًا ۚ وَالْعَاقِبَةُ لِلْمُتَّقِينَ ٨٣﴾ "Hiyo ni nyumba ya Akhera, Tunaijaalia kwa wale wasiotaka kujitukuza katika ardhi na wala ufisadi; na hatima njema ni kwa wenye taqwa." [Al-Qaswasw 28:83]
Play Video
Play Video
01:02:56
Darsa: اعْلَمْ أنَّ مِنْ أَعْظَمِ نَوَاقِضِ الإِسْلَامِ عَشْرَةَ🔴DARSA | (12) من لم يكفر المشركين
Darsa ilifanyika Rabi'uth Thani 28, 1448 H Ijumaa Oktoba 09, 2026 SEHEMU YA KUMI NA MBILI Vitenguzi vya kalimat -neno la-Tawhidi نَوَاقِضُ لَا إِلَهَ إِلاَّ اللهِ Vitenguzi vya Tawhidi نَوَاقِضُ التَّوْحِيد Vitenguzi vya Uislamu نَوَاقِضُ الِإسْلاَم اعْلَمْ أنَّ مِنْ أَعْظَمِ نَوَاقِضِ الإِسْلَامِ عَشْرَةَ Elewa kwamba katika vitenguzi VIKUBWA kabisa vya Uislamu ni mambo KUMI. Elewa na tambua na uwe na yakini ya kwamba Uislamu wa mtu unatenguka kwa kufanya moja lolote lile miongoni mwa mambo kumi yenye kutengua Uislamu. Vitenguzi vya KUMI Uislamu النواقض الِإسْلاَم العشرة Kitenguzi cha Kwanza: Kumshirikisha Allah katika Ibada ya Allah الأول: الشرك في عبادة الله Mwenye kuweka baina yake na baina ya Allah viunganishi الثاني: من جعل بينه وبين الله وسائط الثالث: من لم يكفر المشركين أو شك في كفرهم أو صحح مذهبهم Asiyewakufurisha washirikina, au akatilia shaka ukafiri wao au akaonelea kuwa dhehebu lao ni sahihi
Play Video
Play Video
01:03:20
Darsa ya Riyaadhu كِتابُ الْمُقَدِّمات 🔴 LIVE| (I) باب وجوب طاعة ولاة الأمر في غير معصية Sh Salim
Darsa ilifanyika Rabi'uth Thani 26, 1448 H Jumatano Oktoba 07, 2026 SEHEMU YA KWANZA باب وجوب طاعة ولاة الأمر في غير معصية وتحريم طاعتهم في معصية Mlango wa Wajibu wa Kuwatii Viongozi katika yale yasiyokuwa ya Maasi na uharamu wa Kuwatii Katika Maasi :قَالَ الله تَعَالَى أَطِيعُوا اللَّـهَ وَأَطِيعُوا الرَّسُولَ وَأُولِي الْأَمْرِ مِنكُمْ ۖ ﴿٥٩﴾ "Mtiini Allah na mtiini Rasuli na wenye madaraka miingoni mwenu." [An-Nisaa 4:59]
Play Video
Play Video
01:02:32
Darsa ya Riyaadhu كِتابُ الْمُقَدِّمات 🔴 LIVE| DARSA (II) باب الوالي العادل Sh Salim
Darsa ilifanyika Rabi'uth Thani 25, 1448 H Jumanne Oktoba 06, 2026 SEHEMU YA PILI Mlango wa Kiongozi Muadilifu باب الوالي العادل :قَالَ الله تَعَالَى ﴾إِنَّ اللَّـهَ يَأْمُرُ بِالْعَدْلِ وَالْإِحْسَانِ ﴿٩٠ "Hakika Allah Anaamrishia uadilifu na ihsani." [An-Nahl 16:90] ﴾وَأَقْسِطُوا ۖ إِنَّ اللَّـهَ يُحِبُّ الْمُقْسِطِينَ ﴿٩ "Hakika Allah Anapenda wanaotimiza haki." [Al-Hujuraat 49:9].c
Play Video
Play Video
01:03:23
Darsa ya Riyaadhu كِتابُ الْمُقَدِّمات 🔴 LIVE| DARSA (I) باب الوالي العادل Sh Salim
Darsa ilifanyika Rabi'uth Thani 24, 1448 H Jumatatu Oktoba 05, 2026 SEHEMU YA KWANZA Mlango wa Kiongozi Muadilifu باب الوالي العادل :قَالَ الله تَعَالَى ﴾إِنَّ اللَّـهَ يَأْمُرُ بِالْعَدْلِ وَالْإِحْسَانِ ﴿٩٠ "Hakika Allah Anaamrishia uadilifu na ihsani." [An-Nahl 16:90] ﴾وَأَقْسِطُوا ۖ إِنَّ اللَّـهَ يُحِبُّ الْمُقْسِطِينَ ﴿٩ "Hakika Allah Anapenda wanaotimiza haki." [Al-Hujuraat 49:9].
Play Video
Play Video
01:13:04
DARSA: رَكَائِز فِي تَرْبِيَةِ الأَبْنَاءِ 🔴DARSA: Nguzo katika Malezi ya Watoto (I) Ust bin Masoud
Darsa ilifanyika Rabi'uth Thani 23, 1448 H Jumapili Oktobam 04, 2026 SEHEMU YA KWANZA Malezi ya Watoto تَرْبِيَةِ الأَبْنَاءِ Nguzo katika Malezi ya Watoto رَكَائِز فِي تَرْبِيَةِ الأَبْنَاءِ Nguzo KUMI Za Malezi ya Watoto: الركائز العشر لتربية الأبناء •Nguzo ya Kwanza: Kuhitari (kuchagua) mke/mume mwema اختيار الزوجة الصالحة •Nguzo ya Pili: Kupandikiza aqidah sahihi na Imani غرس العقيدة والإيمان • Nguzo ya Tatu: Kukithirisha (kuwaombea) Dua كثرة الدعاء • Nguzo ya Nne: Kukinga kwa Adh-kari التحصين بالأذكار • Nguzo ya Tano: Kuhitari majina twaiba (mazuri) اختيار الأسماء الطيبة • Nguzo ya Sita: Uadilifu baina ya watoto العدل بين الأبناء • Nguzo ya Saba: U[ole na huruma الرفق والرحمة • Nguzo ya Nane: بذل النصح والتوجيه • Nguzo Tisa: Rafiki mwema الجليس الصالح •Nguzo ya Kumi: Kigezo kizuri القدوة الحسنة
Play Video
Play Video
01:16:14
DARSA: واجب العبد إذا أمره الله بأمر🔴DARSA:Wajibu wa mja anapoamrishwa na Allah (II) Ust bin Masoud
Darsa ilifanyika Rabi'uth Thani 22, 1448 H Jumamosi Oktobam 03, 2026 SEHEMU YA PILI واجب العبد إذا أمره الله بأمر Wajibu wa mja pale Allah Anapomuamrisha amri yoyote ile ِ :إذا أَمَرَ اللَّهُ العَبْدَ بِأَمْرٍ؛ وَجَبَ عَلَيْهِ فِيهِ سَبْعُ مَرَاتِبَ Allah Anapomuamuru mja amri yoyote ile; basi itamlazimu ndani yake mambo (daraja) saba: Daraja ya Kwanza: Kuielewa (kuijua) الأُولَى: العِلْمُ بِهِ Daraja ya Pili: Kuipenda الثَّانِيَةُ: مَحَبَّتُهُ Daraja ya Tatu: Kuazimia kuifanya الثَّالِثَةُ: العَزْمُ عَلَى الفِعْلِ Daraja ya Nne: Kuitekeleza (kuifanya) الرَّابِعَةُ: العَمَلُ الخَامِسَةُ: كَوْنُهُ يَقَعُ عَلَى المَشْرُوعِ خَالِصًا صَوَابًا Daraja ya Tano: Iwe inafanywa kama vile ilivyowekwa na Sharia kwa ikhlasi na iwe sawaba (yenye kusibu; yenye kuwafikiana na Sunnah). السَّادِسَةُ: التَّحْذِيرُ مِنْ فِعْلِ مَا يُحْبِطُهُ Daraja ya Sita: Kujihadhari kutokana na kufanya kile kitakachoiporomosha (batilisha) Daraja ya Saba: Kuthibiti juu yake السَّابِعَةُ: الثَّبَاتُ عَلَيْهِ
Contact
bottom of page